BRAND new video kutoka kwa LORD EYEZ ft JOE MAKINI-SANAA
Thursday, September 13, 2012
Presenter wa Radio O.R.S FM ambaye anawakisha vema pande za kaskazini KIWA STRONG ambaye pia ni msanii aachia ngoma yake mpya ya mchaga na pesa akimshirikisha BANX kutoka sttudio ya NOIZ MEKA producer ni DX mkoani arusha,hivi karibuni.soon utaidownload hapahapa katika blog hii.